Michezo
Uongozi wa timu ya Young Africans umetangaza kuacha kutumia uwanja wa Azam Complex uliyokuwa ukitumika kama uwanja wao wa nyumbani na kuhamia uwanja wa KMC Complex uliyoko maeneo ya Mwenge Jijini Dar es Salaam Tanzania.